Greenbelt Schools Trust Fund (GSTF) inapenda kuwashukuru wale wote kwa namna moja au nyingine wamesaidia kufanikisha kufanyika kwa mkutano wa pamoja na viongozi (wakuu wa idara) wa halmashauri ya wilaya ya kilosa mkoani Morogoro.
Shukrani za pekee ziwaendee Foundation for Civil Society kwa msaada wa kifedha na kiufundi (technical) kutuwezesha kutekeleza shughuli za mradi kama ulivyopamgwa.
Ndugu Raphael R. Chayela (mwenyekiti wa mkutano) aliyesimama akitoa mapendekezo ya namna ya kuongoza mkutano huo kwa kanuni na taratibu za kinidhamu.Kulia ni ndugu John l.Mengele Katibu Mkuu wa GSTF.
Ndugu
Faustine Bakunda aliyesimama akiwa ni muwakilishi wa Mkuu wa wilaya na
Mkurugenzi wa H/W ya Kilosa akitoa muelekeo wa yale yaliyojadiliwa
katika mkutano
Ndugu Masudi Makullah amabaye ndiye Mwezeshaji wa mkutano.
Ndugu Raphael R.Chayela(mwenyekiti wa mkutano) na mchungaji Can H.Madihi
Ndugu Said W.Gujubar na Joseph Ibaso wakijiandikisha.
Mzee Anathony Fyime kulia akiwa na Diwan wa Malolo Saleh M.Huwel wakijisajili.