MKUTANO WA PAMOJA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA IDARA YA MAJI JUNI 26 2013 JUU YA KUIMARISHA UWAJIBIKAJI NA UWAZI KWENYE USIMAMIZI NA UTUMIAJI RASILIMALI ARDHI KATIKA KATA ZA MALOLO, RUHEMBE, KILANGALI, MSOWERO, KITETE, NA MAGOLE CHINI YA UFADHILI WA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY.

       Greenbelt Schools Trust Fund (GSTF) inapenda kuwashukuru wale wote kwa namna moja au nyingine wamesaidia kufanikisha kufanyika kwa mkutano wa pamoja na viongozi (wakuu wa idara) wa halmashauri ya wilaya ya kilosa mkoani Morogoro.
Shukrani za pekee ziwaendee Foundation for Civil Society kwa msaada wa kifedha na kiufundi (technical) kutuwezesha kutekeleza shughuli za mradi kama ulivyopamgwa.                                                                    

Ndugu Raphael R. Chayela (mwenyekiti wa mkutano) aliyesimama akitoa mapendekezo ya namna ya kuongoza mkutano huo kwa kanuni na taratibu za kinidhamu.Kulia ni ndugu John l.Mengele Katibu Mkuu wa GSTF.


Ndugu Faustine Bakunda aliyesimama akiwa ni muwakilishi wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa H/W ya Kilosa akitoa muelekeo wa yale yaliyojadiliwa katika mkutano


Ndugu Masudi Makullah amabaye ndiye Mwezeshaji wa mkutano.


Ndugu Raphael R.Chayela(mwenyekiti wa mkutano) na mchungaji Can H.Madihi

 Ndugu Said W.Gujubar na Joseph Ibaso wakijiandikisha.



Mzee Anathony Fyime kulia akiwa na Diwan wa Malolo Saleh M.Huwel wakijisajili.

Mafunzo ya Pets yaliyofanyika Dakawa

                                          Baadhi ya wafugaji waki sheherekea baada ya kumaliza semina ya uelimishaji
Mwanasemina akiomba ufafanuzi juu ya PETS

                                          Mwanasemina akiwakirisha kazi ya vikundi
                                                    Mwezeshaji semina ndg.Makullah

Training of Trainers Dakawa


BAADHI YA PICHA ZA MAFUNZO KUHUSU ARDHI YALIYO FANYKA TARAFA YA MAGOLE- KITETE







Iran cannot go to Syria talks - US


                           

The US urges the UN to drop its invitation to Iran to join peace talks on Syria, in a row that threatens to wreck the meeting.



                       Ukraine leader warns Kiev protesters

Protesters fire flare at police in Kiev, 20 Jan 14

Clashes continue between police and protesters in the Ukrainian capital Kiev - prompting the president to warn of a threat to the whole country.

               
  Rosetta comet-chaser phones home New   
 
Rosetta artist's impression

Europe's Rosetta spacecraft wakes from its 31-month hibernation, confirming the mission's readiness to hunt down and land on a comet.